DR.SULLE AWAJIA JUU WANAO SEMA PETE YAKE NI YA KISHIRIKINA/HAMNA ELIMU MKASOME UPYA |
|
#islaamic #drsulle #tanzania #live #health #trending
Kulingana na mjadala mkubwa unaendelea mitandaoni kuhusu kauli ya Dr. Sulle kusema majini na pete kukupa unachotaka sasa leo kaamua kuwapa watu elimu ya hali ya juu wapo Manabii waliyo tumia pete na wakaheshimiwa na viumbe vyote Duniani karibu futalia kisa hiki chenye vipande zaidi ya moja. TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YETU YA KIJAMII ANDIKA ISLAAH ISLAMIC TV. |